Mwanzilishi wa Ekeza Sacco Gakuyo azuiliwa korokoroni

  • | Citizen TV
    737 views

    Mwanzilishi wa Ekeza Sacco David Kariuki Ngare anayefahamika kama Gakuyo atasalia kizuizini hadi Jumatatu wiki ijayo atakaposhtakiwa. Gakuyo alikamatwa Jumatano kuhusiana na kesi kadhaa za kuwalaghai wanachama wa Ekeza Sacco zaidi ya shilingi bilioni moja. Waathiriwa wa ulaghai huo wanasimulia jinsi walivyotapeliwa pesa zao zaidi ya miaka 5 iliyopita.