Mwathiriwa wa ubakaji anayewatia hatiani wabakaji

  • | BBC Swahili
    Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya visa vya ubakaji vinavyoripotiwa duniani, lakini ni asilimia 8 pekee ndio wanao hukumiwa. Sgt Catherine Tladi, alinusurika ubakaji na amedhamiria kubadilisha hali hiyo katika nchi yake. #bbcswahili #afrikakusini #ubakaji