MWENGE WA KAUNTI | Kilimo katika kaunti (Part 2)

  • | Citizen TV
    111 views

    Kilimo katika kaunti Kila kaunti inajivunia aina fulani ya kilimo au ufugaji baadhi wameendesha kilimo kwa bidhaa za kimataifa kumekuwa na hofu ya kupungua kwa mazao na bidhaa je, kaunti zinafanya nini kukuza kilimo na ufugaji je, juhudi zinazofanywa na serikali zinatosha kaunti? #citizentv #Kenya #kenya