Mwenyekiti wa chama cha ODM ataka taharuki ya kumtaka kumrithi Raila kukoma

  • | West TV
    48 views
    Huku viongozi mbalimbali wa chama cha odm wakianza kupasha misuli moto kumrithi kinara wa chama hicho raila odinga anayelenga kuwania kiti cha mwenyekiti wa tume ya umoja wa afrika au, sasa mwenyekiti wa chama hicho john mbadi amewataka wanaotaka kung’ang’ania wadhifa wa kinara huyo kutoleta taharuki kwenye chama cha odm