Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati asema kila kitu ki tayari kwa chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC Wafula Chebukati amesema kila kituo ki tayari kwa chaguzi ndogo zinazofanywa katika maeneobunge ya Kabuchai na Matungu pamoja na wadi kadhaa nchini hapo kesho. Akizungumza baada ya mkutano na wagombea na wawakilishi kutoka kaunti ya Machakos ambako uchaguzi wa Useneta pia utafanyika, Chebukati amewataka wakaazi kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi huo