Mwenyekiti wa kamati ya bajeti, Ndindi Nyoro asema uwekezaji umeimarishwa na ukuaji wa uchumi

  • | Citizen TV
    279 views

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge la kitaifa kuhusu bajeti Ndindi Nyoro amesema kuwa kuimarika kwa uchumi kumechangia uwekezaji kwenye hisa za serikali.