Mwenyekiti wa ODM John Mbadi apuzilia mbali madai ya mgawanyiko kati ya wabunge wa Raila na Uhuru

  • | KBC Video
    Wabunge wa mrengo wa kiongozi wa upinzani Raila Odinga wamepuuza madai ya kuchipuza kwa mgawanyiko baina ya mrengo huo na ule unaomuunga mkono rais Uhuru Kenyatta. Mwenyekiti wa chama cha ODM John Mbadi amesema pande hizo mbili zinashauriana ili kutatua mtafaruku uliotokana na kutoelewana kuhusu nyadhifa za kamati za bunge zilizoachwa wazi hivi majuzi kufuatia kuondolewa kwa wale waliochukuliwa kuwa wafuasi wa naibu wa rais William Ruto. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive