Mwenyekiti wa tume ya huduma za polisi Eliud Kinuthia atoa ripoti kuhusu msasa wa maafisa wa polisi

  • | Citizen TV
    2,151 views

    Mwenyekiti wa tume ya huduma za polisi Eliud Kinuthia anatoa ripoti kuhusu msasa wa maafisa wa polisi. kulikuwa na mtafaruku kati ya tume hiyo na inspekta jenerali wa polisi kuhusu kupandishwa cheo kwa maafisa mia tano. tusikize yanayojiri.