Skip to main content
Skip to main content

Mwiili wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ulisafirishwa kwa ndege maalum ya kijeshi

  • | Citizen TV
    8,753 views
    Duration: 5:02
    Mwili wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ulisafirishwa kwa ndege maalum ya kijeshi kutoka katika uwanja wa ndege wa Kisumu hadi katika uwanja wa mamboleo na kisha baadaye hadi nyumbani kwake huko Bondo. Kwa mujibu wa kamati andalizi ya mazishi, hatua hiyo iliafikiwa ili kuzuia kutatizika na kucheleweshwa kutokana na umati mkubwa wa maelfu ya wafuasi wake waliojitokeza barabarani kuusindikiza mwili.