Mwili mmoja wapatikana kijiji cha Binzaro

  • | Citizen TV
    421 views

    Hofu imeibuka kijiji cha Binzaro kaunti ya Kilifi baada ya polisi kupata maiti moja na kuwaokoa watu wanne waliokuwa wamedhoofika kiafya kilomita chache kutoka shakahola. Miongoni mwa waliokamatwa ni mke na mume kutoka siaya waliookolewa mwaka wa 2023 Shakahola lakini wakatoweka nyumbani kwao na wanao sita ambao hadi sasa hawajulikani waliko