Skip to main content
Skip to main content

Mwili unaoaminika kuwa wa Jane Atila ulitambuliwa katika hifadhi ya maiti ya city

  • | Citizen TV
    3,288 views
    Duration: 2:34
    Mwili unaoaminika kuwa wa msichana wa chuo kikuu cha Nairobi aliyeripotiwa kutoweka eneo la Kikuyu umepatikana katika hifadhi ya maiti ya city. Hii ni baada ya sehemu ya mwili wa mwanamke kupatikana katika msitu wa Kefri Kikuyu na kupelekwa kwenye hifadhi hiyo tarehe 17 Oktoba. Familia inasema inaandaa uchunguzi wa DNA ili kuhakikisha mwili huo ambao umeharibika kiasi cha kutotambulika.