Mwili wa kijana Enock Omoi ulipatikana ndani ya mto

  • | Citizen TV
    1,292 views

    Biwi la simanzi lilitanda katika kijiji cha Nyatieko wakati mwili wa Enock Omoi, kijana aliyepatikana ndani ya mto akiwa ameuwawa kwa kosa la ng'ombe kula mahindi Shambani kule Tranzoia kupelekwa nyumbani. Mwili wa kijana huyo uliletwa saa kumi asubuhi kabla kuachwa nje ya lango lao jambo ambalo liliacha wengi na butwaa.