- 7,088 viewsDuration: 3:21Jioni ya leo, Mwili wa kijana mmoja kati ya watatu waliozama wakati wa mashindano ya mashua eneo la Tudor mjini Mombasa umeopolewa. Maafisa wa ukoaji bado wakiwatafuta vijana wengine wawili waliozama huku sasa waandalizi wa mashindano hayo wakijitetea dhidi ya tuhuma za kutowajibika. Waandalizi hawa wakikana kuwa vijana 22 waliozama hawakuwa na vifaa vya usalama