Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa marehemu Raila Odinga hatimaye ulipelekwa katika majengo ya bunge kwa heshima za mwisho

  • | Citizen TV
    24,862 views
    Duration: 8:45
    Mwili wa marehemu Raila Omollo Odinga hatimaye ulipelekwa katika majengo ya bunge kwa heshima za mwisho baada ya mipango hiyo kuvurugika siku ya Alhamisi. Safari hiyo ya mwisho ya marehemu Raila hapa Nairobi ilianzia makafani ya Lee kuelekea bunge kabla ya msafara uliosindikiza mwili kuelekea uga wa nyayo kwa ibada ya mazishi ya kitaifa na fursa kwa umma kuutazama mwili.