Mwili wa mchimba dhahabu aliyenaswa ndani ya mgodi waopolewa

  • | Citizen TV
    336 views

    Mwili wa Gilbert Odhiambo Ogola, mwenye umri wa miaka 28, mchimba madini aliyenaswa kwenye Cchimbo katika kijiji cha Sogo, Central Alego, kaunti ya Siaya umepatikana saa 24 baada ya ajali hiyo kutokea.