Mwili wa mtu mmoja waopolewa mtaani Mathare baada ya kusombwa na mafuriko

  • | Citizen TV
    7,765 views

    Idadi ya watu wasiojulikana wanahofiwa kufariki katika eneo la Mathare hapa Nairobi baada ya kusombwa na mafuriko usiku wa kuamkia leo. Maafisa wa shirika la msalaba mwekundu wako katika harakati za uokoaji. Tayari mwili wa mtu mmoja umeopolewa katika eneo hilo.