Mwili wa muuguzi aliyefariki nchini Canada wasili nchini

  • | KBC Video
    21 views

    Mwili wa marehemu Hellen Wendy Nyabuto, muuguzi wa humu nchini aliyekuwa ameajiriwa nchini Canada uliwasili nyumbani leo alasiri, tayari kuandaliwa mazishi Jumatatu katika kijiji cha Suneka, kaunti ya Kisii. Wendy alikufa maji kwenye kidimbwi kimoja cha cha kuogelea nchini Canada, kati kati ya Augosti mwaka huu. Babake Marehemu, John Nyabuto amemwelezea mwanaye huyo wa kwanza kuwa rafiki na kielelezo kwa watoto wengine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #HellenWendyNyabuto#canada