- 1,562 views
Familia ya mwakilishi wa wadi ya Wajir Yussuf Hussein Ahmed imetambua mwili wa marehemu baada ya kupatikana amefariki katika Ziwa Yahud, kaunti ya Wajir. Mwakilishi wadi huyo alitoweka tarehe 13 mwezi jana katika kile familia yake ilidai kuwa utekaji nyara na wapelelezi kutoka kwa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai. Familia hiyo pamoja na wawakilishi wadi wengine kutoka kaunti za Wajir na Mandera walikuwa wamewasilisha rufaa katika mahakama ya Milimani wakitaka awasilishwe mahakamani akiwa hai au amefariki.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Mwili wa Mwakilishi Wadi Yussuf Hussien, aliyetoweka tarehe 13 mwezi uliopita, wapatikana ziwa Yahud
- - Duniani Leo ››
- 14 Jul 2025 - The two leaders command a solid support base key in determining the presidential contest.
- 14 Jul 2025 - Missed vaccination risks a child's life as eradicated diseases return
- 14 Jul 2025 - Ruto's multiple problems and why they are not likely to fizzle out soon
- 14 Jul 2025 - Missing bullets in demo victims spark questions
- 14 Jul 2025 - How trigger-happy police officers conceal evidence that incriminates them
- 14 Jul 2025 - I'm not the dad: Man wants name removed from birth certificate
- 14 Jul 2025 - Why State has resorted to terrorism charges
- 14 Jul 2025 - Kenya's exports brace for Sh13b blow as Trump tariffs resume
- 14 Jul 2025 - Syphilis infections rise sharply with women most hit
- 14 Jul 2025 - With IEBC in place, country prepares for mini elections