Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa mwanafunzi wafukuliwa Nyamira baada ya mauaji

  • | Citizen TV
    3,235 views
    Duration: 1:48
    Shughuli ya kufukua mwili wa mwanafunzi wa miaka ishirini faith kemunto, imefanyika huko nyamira huku polisi wakimzuilia mshukiwa mkuu wa mauaji hayo. Inaarifiwa kuwa gideon makori, ambaye alikuwa mpenziwe alimuua na kisha kuuzika mwili.