Mwili wa mwanamke wapatikana kando ya barabara kaunti ya Kiambu

  • | Citizen TV
    841 views

    Mwili wa mwanamke wa umri wa makamo ulipatika mapema asubuhi kando ya Barabara ya Laini Banana eneo la Kiambaa.