Mwili wa mwanamume mmoja wapatikana kwenye mgodi Lurambi, kaunti ya Kakamega

  • | KBC Video
    93 views

    Polisi huko Lurambi, kaunti ya Kakamega wameanza kuchunguza kifo cha mwanaume mmoja ambaye mwili wake ulipatikana kwenye mgodi.Wakazi wanaamini mwanaume huyo huenda aliuawa na mwili wake kutupwa kwenye mgodi kufuatia madai eti alikuwa mhalifu.

    #DiraYaMagwiji #TheGreatKBC

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #kakamega #dirayamagwiji