Mwili wa mwanaume asiyejulikana wapatikana ndani ya mto Thanantu kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    254 views

    Katika kile kinachotajwa kama kukithiri kwa uhalifu kaunti ya tharaka nithi, Mwili wa mwanaume asiyejulikana wapatikana ndani ya MTO Thanantu, eneo la tharaka.