Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa mwathiriwa wa pili kwenye jengo lililoporomoka mtaani South C wapatikana

  • | KBC Video
    245 views
    Duration: 1:59
    Mwili wa mwathiriwa wa pili kwenye mkasa wa jengo lililoporomoka mtaani South C umeondolewa baada ya siku sita kufuatia juhudi za utafutaji zilizotekelezwa na kundi la maafisa wa mashirika mbalimbali. Mwili huo uliondolewa kwenye vifusi mwendo was aa tisa alasiri siku tatu baada ya mwili wa kwanza kuondolewa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive