Mwili wa Sharon Atieno ulipatikana eneo la Banana baada ya kutoweka Alhamisi

  • | Citizen TV
    2,142 views

    Polisi kaunti ya Kiambu wanachunguza tukio ambapo mwili wa binti wa miaka 19 ulipatikana katika shamba la ndizi eneo la Banana. Mwili wa Sharon Atieno ulipatikana siku moja baada ya kuripotiwa kutoweka.