Mwili wa wafukuliwa Kabete

  • | TV 47
    MWILI WA WAFUKULIWA KABETE Kizazaa kilizuka katika kijiji cha Muthure eneo bunge la Kabete baada ya mwanamme mmoja kumfukuwa mkewe aliyefariki miaka miwili iliyopita kwa ajili ya kufanikisha uuzaji wa shamba lake. #TV47News #Tv47PwaniStudio