Mzee wa miaka 40 apatikana amefariki eneo la Muguga

  • | KBC Video
    5 views

    Kupatikana kwa maiti ya mwanamme wa umri wa miaka arobaini katika daraja la chini la Muguga kando ya barabara kuu ya Nairobi-Nakuru leo asubuhi kumewaacha wakazi wakiuliza maswali kuhusu hali ya usalama katika eneo hilo. Inadaiwa kuwa Paul Naai Muti aliondoka nyumbani kwake siku ya Ijumaa lakini hakurejea, na hivyo kusababisha msako uliowafikisha kwenye daraja hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive