Mzee wa miaka 63 katika kijiji cha Khayega auawa

 • | KBC Video
  22 views

  Mzee wa miaka 63 katika kijiji cha Khayega kaunti ya Kakamega alipatikana amefia kwenye nyumba yake akiwa na majeraha mwilini. Matone ya damu kwenye nyumba ya marehemu yanaashiria kuwa kulikuwa mvutano kabla ya kifo chake.

  Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

  #KBCchannel1 #khayega #murdermystery

  murder