Mzozo DAP-K unaendelea kati ya Wamalwa na Natembeya wenye maombi mawili

  • | NTV Video
    1,682 views

    Mzozo wa uongozi wa Chama cha Democratic Action Party DAP-K, baina ya Kiongozi wa chama Eugene Wamalwa na naibu wake ambaye ni Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya, unaendelea kutokota huku ikiibuka kuwa kuna maombi mawili, moja kutoka kwa wandani wa Wamalwa wanaotaka kufurushwa kwa Natembeya na la pili kutoka kwa wandani wa Natembeya wanaotaka Wamalwa akanyage kubwa kubwa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya