- 24,752 viewsDuration: 28:11Serikali ya Tanzania inasema ina mafuta ya kutosha kuitosheleza nchi yake. Waziri anayeshughulikia sekta ya nishati, Deogratius Ndejembi ametoa onyo kwa wafanyabiashara watakaoficha mafuta kwa lengo la kusubiri bei kupanda duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw