Mzozo kati ya jamii mbili katika kaunti ya Garissa wasuluhishwa na wazee kutoka jamii hizo

  • | Citizen TV
    230 views

    Mzozo kati ya jamii mbili zinazozozana katika kaunti ya Garissa hatimaye umesuluhishwa na wazee kutoka jamii hizo mbili.