Mzozo kati ya Mke na Familia ya mume wake umesababisha marehemu kurejeshwa makafani

  • | West TV
    161 views
    Mipango ya mazishi ya mfanyikazi wa serikali ya kaunti kitengo cha ushuru aliyekuwa pia mfanyibiashara henry maturu maarufu website aliyetarajiwa kuzikw jumamosi hii mjini webuye imesitishwa na mahakama kuu ya bungoma baada ya jamii ya marehemu kuzozana na ile ya mjane na kusababisha mjane kuelekea mahakamani na kupata amri ya kusitisha maziko.