Mzozo kuhusu udhibiti wa choo cha umma ambacho hutozwa ada kwa watumiaji

  • | K24 Video
    112 views

    Kizaazaa kimezuka katika kituo cha basi cha Kinangop mjini Naivasha kisa, udhibiti wa choo cha umma ambacho hutozwa ada kwa watumiaji. Choo hicho kinazozaniwa na makundi mawili. Wakati wa kisa hicho baadhi ya vijana walijeruhiwa huku wengine wakitiwa mbaroni na maafisa wa polisi.