Mzozo umeibuka Kisii kuhusiana na malipo ya wanakandarasi waliopewa kazi na serikali uliopita

  • | Citizen TV
    2,348 views

    Mzozo umeibuka kati ya viongozi wa kaunti ya Kisii kuhusiana na malipo ya baadhi ya wanakandarasi waliopewa kazi katika serikali ya gavana wa kitambo James Ongwae. Mzozo huo ukidhihirika viongozi wa Azimio walipohudhuria hafla ya kutoa shukrani ya Gavana Simba Arati. Viongozi wa kaunti hiyo wanasisitiza kwamba hawatalipa pesa kwa kazi ambayo haionekani kufanyika