Mzozo wa ardhi Nakuru yaendelea huku wakaazi wakisema kua ardhi hiyo ni ya umma

  • | TV 47
    35 views

    Baadhi ya wakaazi wa Kaunti ya Nakuru pamoja na watetezi wa haki za kibinaadam wamejitokeza kuzungumzia masuala ya mzozo ulioko kati ya usimamizi wa hospitali ya War Memorial na Serikali ya Kaunti ya Nakuru.

    Wakaazi wanasema ardhi hiyo ni ya umma.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __