Mzozo wa ardhi umepelekea maiti ya mzee kufukuliwa mwezi mmoja baadae Busia

  • | West TV
    64 views
    WAKAZI WA KIJIJI CHA BUMWAYA A, KATA NDOGO YA KINGANDOLE ENEO BUNGE LA BUTULA KATIKA KAUNTI YA BUSIA WAMEAMKIA MSHANGAO BAADA YA MWILI WA MZEE LUCAS OJWANG OTIENO ALIYEZIKWA ZAIDI YA MWEZI MMOJA ULIYOPITA KUFUKULIWA ALAFAJIRI YA LEO