Mzozo wa ardhi unaohusisha magereza na serikali ya Bomet watatuliwa

  • | TV 47
    24 views

    Mzozo wa ardhi ambao umekuwapo kati ya mojawapo ya magereza na serikali ya Kaunti ya Bomet hatimaye umetatuliwa.

    Hii ni baada ya kamati ya kiufundi ya mahusiano katika serikali zote mbili inayoongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo githinji kiragu, kusuluhisha mzozo huo baada ya kutembelea ardhi hiyo na kukutana wahusika kutoka pande zote mbili.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __