Mzozo wa Israel na Palestina: Je, kuna maeneo salama Gaza?

  • | BBC Swahili
    5,110 views
    Jeshi la Israel IDF limetoa maelekezo kwa raia kuhamia eneo la kusini mwa Gaza kwa usalama wao. Lakini uchunguzi wa BBC Verify umethibitisha kwamba kuna mashambulizi ya angani ambayo yamelenga maeneo ya karibu na sehemu ambazo raia waliambiwa wahamie. Elizabeth Kazibure anaeleza zaidi. #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw