Mzozo wa mpaka nyamira na kisii waleta vurugu huku mali ya wanabiashara ikiteketezwa soko la Keroka

  • | TV 47
    52 views

    Baadhi ya wafanya biashara kutoka soko la Keroka mjini wameamka na kukumbana na hasara kubwa baada ya vibanda vyao na mali yao ya thamani isiyojulikana kuteketezwa usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane. Haya yakifanyika kwa madai ya mgogoro wa mpaka wa Kaunti ya Nyamira na Kisii huku mvutano ukizidi kushuhudiwa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __