Mzozo wa nyumba za serikali | Serikali na kanisa la PCEA wavutana kwa Shamba

  • | Citizen TV
    166 views

    HALI YA TAHARUKI IMEENDELEA KUSHUHUDIWA ENEO LA ONGATA RONGAI KAUNTI YA KAJIADO AMBAKO MZOZO WA SHAMBA KATI YA SERIKALI YA KITAIFA NA KANISA LA PCEA MACEDONIA UMEENDELEA KUTOKOTA. HOFU HII IKIZIDI BAADA YA UJENZI WA NYUMBA ZA SERIKALI KUONEKANA KUANZA KATIKA SHAMBA HILO