- 832 viewsDuration: 1:08HALI YA TAHARUKI IMEENDELEA KUSHUHUDIWA ENEO LA ONGATA RONGAI KAUNTI YA KAJIADO AMBAKO MZOZO WA SHAMBA KATI YA SERIKALI YA KITAIFA NA KANISA LA PCEA MACEDONIA UMEENDELEA KUTOKOTA. HOFU HII IKIZIDI BAADA YA UJENZI WA NYUMBA ZA SERIKALI KUONEKANA KUANZA KATIKA SHAMBA HILO