Mzozo wa uongozi wakabili ACK katika eneo la Kapenguria

  • | Citizen TV
    324 views

    Maafisa wa usalama walilazimika kulinda ibada mbili tofouti ili kuzuia vurugu katika kanisa la ACK mjini Kapenguria hapo jana kufuatia mzozo wa uongozi ambao umeshuhudiwa katika kanisa hilo kwa zaidi ya miaka saba sasa. Kwa mara kadhaa, ibada zilishuhudia fujo na ghasia.