- 478 viewsDuration: 2:53Mzozo umeibuka kati ya familia mbili kuhusu mwanamke aliyeaga dunia na mwili wake kudaiwa kuondolewa kwenye makafani kinyume cha sheria. Saumu Luvuno alifariki tarehe 7 na mwili wake kuhifadhiwa makadara ila familia inadai kuwa mwili wake ulihamishwa na mumewe wa zamani hadi makafani ya Kilifi bila kuwahusisha. Familia hiyo sasa imeelekea mahakamani ikitaka mwili huo kurejeshwa kwao.