Mzozo wawaweka watoto yatima Eswatin katika mazingira magumu

  • | VOA Swahili
    85 views
    Katika kijiji cha mbali cha Lobamba Lomdzala, nchini Eswatini, watoto wanakabiliwa na changamoto kutokana na mzozo ambao umewaacha maelfu ya mayatima, wakiishi katika hali mbaya. Katika jamii hii, watoto wengi wameachwa bila makazi au usalama wa kutosha, huku wengine wakikimbilia kuomba chakula, kwenye mitaa iliyojaa vumbi. Hata hivyo, katikati ya mgogoro huu, pia kuna hadithi za matumaini. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.