Mzozo wazuka baina ya wawakilishi wa Azimio na Kenya Kwanza ndani ya Bunge la Kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    2,296 views

    Mzozo baina ya wawakilishi wadi kutoka Mrengo wa Azimio na Kenya Kwanza ulizuka ndani ya Bunge la Kaunti ya Kisii baada ya tetesi ya mchakato wa kumbandua Spika wa Bunge hilo Philip Nyanumba.