Mzungu mluhya akitamba na Kiswahili

  • | BBC Swahili
    2,167 views
    Elliot Berry almaarufu ‘mzungu mwitu’ au ‘mwalimu wa Kiswahili’ ni mzaliwa wa Uingereza lakini amejipata umaarufu nchini Kenya kwa kuongea lugha ya Kiswahili tena kwa lafudhi ya jamii ya Waluhya kutoka Magharibi mwa Kenya.