'Naahidi kuongoza kwa unyenyekevu na uwazi'

  • | BBC Swahili
    7,259 views
    Rais mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, 44, ameapa kukabiliana na ufisadi na kuongoza kwa unyenyekevu, hayo ameyasema wakati wa hotuba yake #bbcswahili #Senegal #Uchaguzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw