Skip to main content
Skip to main content

Nacada imezindua kampeni ya kuhamasisha umma

  • | Citizen TV
    103 views
    Mamlaka ya kudhibiti pombe na mihadarati nchini NACADA imezindua kampeni ya kuhamasisha umma kuhusu athari za dawa za kulevya. Akizungumza baada ya Kuzindua kampeini hiyo mjini Bungoma, Naibu Kamishna Geoffrey Githinji amesema kuwa shughuli hiyo inalenga kutoa hamasa kwa vijana na wazee. Githinji aidha amewataka wamiliki wa vilabu vilivyo halalishwa kufanya biashara ya vileo kuzingatia muda uliowekwa wa kuendeleza biashara hiyo