NACADA yadhibiti biashara ya vileo karibu na taasisi za elimu

  • | Citizen TV
    40 views

    Mamlaka ya Kudhibiti Matumizi ya Mihadarati Nchini (NACADA) inaendelea kuchukua hatua kali kudhibiti utoaji wa leseni za uuzaji wa vileo, hasa katika maeneo yaliyo karibu na taasisi za elimu