Nageeye na Chepkirui kuongoza vikosi vya mabingwa kwenye New York Marathon 2025

  • | Citizen TV
    204 views

    MABINGWA WATETEZI ABDI NAGEEYE WA UHOLANZI NA SHEILA CHEPKIRUI WA KENYA WANAONGOZA SAFU ILIYOJAA WANARIADHA WALIOBOBEA AMBAO WAMETHIBITISHWA KUSHIRIKI MBIO ZA NEW YORK MARATHON ZA MWAKA WA 2025 TAREHE 2 NOVEMBA