Naibu chifu anusurika kifo kwenye shambulizi kwenye uvamizi wa wezi wa mifugo Samburu

  • | Citizen TV
    1,852 views

    Naibu Chifu wa kata ya Loosuk Samburu magharibi ameepuka kifo baada ya kukutana na wavamizi ana kwa ana waliovamia Kijiji hicho mapema asubuhi ya leo na kuiba zaidi ya Mifugo mia mbili. Katika wizi huo, makabiliano ya risasi yalishuhudiwa katika Kijiji Cha Nkusoro.